my slide

Saturday, 8 April 2017

TAZAMA JINSI MVUA ILIVOLETA MAFRIKO MJINI BUKOBA

habari ya kushangaza
usikuwa kuamkia leo mvua kubwa imenyesha na kuwaacha
wakazi wa bukoba katika ali ngumu sana
hii imetokea baada ya kukosa mvua kwa kipindi kirefu
hizi ni baadhi ya picha tulizozipata kutokea mji wa Bukoba
baadhi ya vyombo vya usafiri kushindwa kufanya kazi
ikitegemewa kuwa baadhiya makazi kupata madhara na kuingiliwa na
maji ndani ya nyumba zao
kwa mawasiliano zaid niibox me jovinjuvenary6@gmail.com






No comments:
Write comments